Matukio anayopitia mtu siku ya kwanza kujiunga na darasa la kwanza kutoka chekechea
4th January, 2016
Matukio anayopitia mtu siku ya kujiunga na darasa la kwanza kutoka chekechea huwa ya kukumbukwa maishani. Tulizuru shule ya Moi Avenue katikati mwa jiji na Olympic mtaani Kibra kushuhudia jinsi siku ya kwanza imekuwa kwa Wakenya hawa wachanga.