x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wazazi walalamikia gharama ya masomo ambayo inaendelea kupanda huku shule zifunguliwa

03, Jan 2016

Muhula wa kwanza wa masomo unatarajiwa kuanza hapo kesho huku wazazi wakilalamikia gharama ya masomo ambayo inaendelea kupanda. Mbali na baadhi ya shule kuongeza karo kwa viwango vya juu, gharama ya vitabu pia inawakosesha wazazi usingizi. Lakini wachapishaji vitabu wanailaumu serikali kwa kile wanachokitaja kuwa kuongeza kodi kwa mali ghafi ya kutengeneza vitabu.

RELATED VIDEOS


Feedback