Mwanamke anayedai kumpa mwakilishi wa wadi ya Kongowea gari kama dhamana ajitokeza kumtetea
3rd January, 2016
Madai ya utapeli yanayomkumba mwakilishi wa wadi ya Kongowea Jabes Oduor yameendelea kukengeuka. Mwanamke anayedai kumpa Jabes Gari kama dhamana ya mkopo kutoka kwa mwanasiasa huyo amejitokeza kumtetea. Kama anavyoarifu mwanahabari John Juma, polisi wanamtaka mwanamke huyo kurekodi taarifa rasmi katika kituo cha polisi