×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Magavana wataka ugatuzi ulindwe na wananchi na serikali

2nd January, 2016

Tunapoanza mwaka wa 2016 leo, huenda ndio mwaka ulio na mtihani mkubwa sana kwa ugatuzi ikizingatiwa kwamba muda wa kuhamisha baadhi ya huduma kutoka serikali kuu kwa serikali za kaunti utakamilika mwezi machi. Akizungumza katika hafla ya kuadimisha mwaka mpya, mwenyekiti wa baraza la magavana peter munya amesema kuwa juhudi za kufanya mabadiliko katika baadhi ya huduma hazijafua dafu.
.
RELATED VIDEOS