x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Uhuru Kenyatta atangaza mpigano ya serikali katika mwaka wa 2016

02, Jan 2016

Rais uhuru Kenyatta amewataka wakenya kutangamana kufanikisha ukuaji wa taifa mwaka huu wa 2016. Akizungumza kwenye hotuba ya mwaka mpya kwa taifa rais kenyatta aligusia baadhi ya mafanikio ambayo taifa limepiga na hata akabashiri ufanisi zaidi kwenye sekta nyingi katika mwaka mpya.

Feedback