x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

NTSA na polisi wamaandaa operesheni kunasa magari binafsi yanayowabeba abiria msimu huu wa sherehe

31, Dec 2015

Maafisa wa mamlaka ya usalama barabarani NTSA na polisi wa trafiki wameandaa operesheni ya kuyanasa magari binafsi yanayowabeba abiria msimu huu wa sherehe. Wakiongoza operersheni hiyo katika barabara kuu ya nairobi – nakuru wakuu wa ntsa wamesema kuwa takwimu zimeonesha kuwa magari binafsi na pikipiki za boda boda zimechangia kwa ongezeko la ajali za barabarani mwaka huu

RELATED VIDEOS


Feedback