Ulevi wazidi kukithiri Kimilili Bungoma licha ya agizo la kupiga marufuku pombe
31st December, 2015
Licha ya rais kutoa agizo la kupiga marufuku utengenezaji na utumizi wa pombe haramu, huenda agizo hilo halijatiliwa mkazo katika maeneo fulani katika kaunti ya Bungoma…..Robert Wanyonyi alikuwa katika mji wa Kimilili, na kushuhudia jinsi baadhi ya wakazi wanavyozidi kupiga mtindi, licha ya agizo hilo…..