×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wa Jubilee waandaa mikutano Pokot Magharibi kuwarai wananchi kuunga chama hicho

28th December, 2015

Wabunge wa Jubilee wameandaa mikutano katika kaunti ya Pokot Magharibi kuwarai wananchi kuunga mkono chama hicho kinachoongozwa na rais Uhuru Kenyatta. Ni mikutano iliyoandaliwa na mbunge wa Pokot kusini David Pkosing, mbunge wa Kacheliba Mark Lomunokol na mbunge wa Webuye Magharibi kwa matayarisho ya uchaguzi wa mwaka 2017.
.
RELATED VIDEOS