Tobiko apokea faili za Billow Kerrow na William Kabogo kwa tuhuma za kutoa matamshi ya chuki
28th December, 2015
Afisi ya kiongozi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko imethibitisha kupokea faili za seneta wa Mandera Billow Kerrow na gavana wa Kiambu William Kabogo kwa tuhuma za kutoa matamshi ya chuki. Wakati huohuo,afisi hio imeamuru kufunguliwa mashtaka kwa kiongozi wa shirikisho la soka nchini Sam Nyamwea na Ben Kethi kuhusu ufujaji wa fedha. Francis mtalaki na maelezo kamili.