×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu 2 wauawa na wanajeshi wa KDF mjini Mandera

28th December, 2015

Watu 2 wameuawa na wanajeshi wa KDF mjini Mandera mapema leo asubuhi huku wengine 5 wakipata majeraha ya risasi. Kulingana na maafisa wa KDF,walisikia mlio wa kilipuzi walipokua wakishika doria huku gari aina ya probox likiwapita na kuamua kulifyetulia risasi, kauli ambayo imepingwa vikali na wenyeji pamoja na viongozi wa kaunti ya Mandera. Tukio hilo limeirudisha nyuma imani ya wenyeji na vyombo vya usalama sehemu ya kaskazini mashariki katika vita dhidi ya ugaidi.
.
RELATED VIDEOS