KTN Leo Full Bulletin 2015 Familia ya mwendazake yataka haki
27th December, 2015
Waziri wa usalama wa ndani joseph nkaisery alilazimika kuusitisha mkutano wa pili alipokua akikutana na jamii ya wakipsigis sehemu ya lengape kwa mda wa robo saa hivi, baada ya vijana wa kimasai walipojaribu kuuvuruga walipokutana kwanza na waziri nkaisery. Polisi walilazimika kufyetua risasi hewani ili kudhibiti hali ingawa baadae mkutano huo uliendelea. Taarifa zaarifu kuwa mtu mmoja aliuawa usiku wa kuamkia LEO KUFWATIA UHASAMA WA JAMII MBILI MPAKA WA KAUNTI ZA NAKURU NA NAROK.