MSETO WA TAHARIFA: Wenyeji wa Pwani mwa Kenya watakiwa kuchkua kura
27th December, 2015
Katika mseto wa taarifa zetu naibu rais william ruto ameipongeza hatua ya waislamu waliowaokoa wenzao wakristu katika shambulizi la basi huko mandera ambalo lilitekelezwa na wapiganaji wa alshabaab. Na mkuu wa jeshi la kenya avitembelea vikosi vya kenya vinavyolinda amani huko kismayo somalia.