x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ufuo wa Jomo Kenyatta huko Mombasa umeanza kufanya bihashara usiku na mchana

27, Dec 2015

Fukwe za kenyatta katika kaunti ya mombas sasa zimetundikiwa milingoti ya taa za barabarani na serikali ya kaunti ya mombasa katika vita dhidi ya utovu wa usalama. Awali fukwe hizo ambazo ni kivutio cha wakenya wengi katika siku za sikukuu,ziligubikwa na kiza na kuhatarisha usalama wa wageni wanaozuru. Taarifa ifuatayo inaangazia mabadiliko hayo yanayotarajiwa kuimarisha biashara na utalii.

RELATED VIDEOS


Feedback