Familia ya msichana aliyeuwawa Embakasi yataka haki
27th December, 2015
Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa marehemu charity mukami aliyepatikana nyumbani mwa mpenzi wake akiwa ameaga dunia katika mtaa wa nyayo – embakasi hapa jijini nairobi umebaini kwamba marehemu alipambana na majeraha 6 ya visu shingoni kabla ya kuaga dunia.