x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maafisa wawili wa Polisi wauwawa katika shambulizi la Mandera

27, Dec 2015

Maafisa wawili wa polisi wameuawa huku wengine wakijeruhiwa waliposhambuliwa na watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al- shabaab, katika barabara inayoelekea el wak kaunti ya mandera. Shambulizi hili linatukia siku mbili tu baada ya msafara wa maafisa wa polisi kushambuliwa kaskazini mwa kenya na kundi hilo hilo la al shaba ambapo afisa mmoja aliuawa. Tukio hilo limewashinikiza kwa mara nyingine tena viongozi kutoka kaunti ya mandera kukusanyika na kuitaka serikali ya rais uhuru kenyatta,kulishughulikia swala la ukosefu wa usalama wa kutosha sehemu hio.

RELATED VIDEOS


Feedback