x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Serekali kufadhili gharama ya matibabu ya wanusura wa shambulizi ya Mandera

27, Dec 2015

Serikali imekanusha madai kuwa hospitali kuu ya kenyatta ilikuwa iwafurushe manusura wa shambulizi la kigaidi kule mandera waliowakinga wenzao wa kikristo. Akizungumza na wanahabari baada ya kuwatembelea waathiriwa hao mapema leo asubuhi, waziri wa afya cleopas mailu amewahakikishia waathiriwa hao kuwa serikali itagharamia fedha za matibabu za wawili hao.

RELATED VIDEOS


Feedback