Maasifa wa Polisi washika doria katika eneo la Mau Narok huku hali ya taharuki ikitanda
26th December, 2015
Watu wawili wameuwawa ,huku wengine wengi wakiendelea kuuguza majeraha , haya yamejiri kufuatia mvutano kati ya jamii ya Kipsigis na Maasai katika kaunti ya Narok. Takriban nyumba mia moja zimechomwa katika mapigano haya.