×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mashindano ya Ndondi yaandaliwa katika Kaunti ya Mombasa

26th December, 2015

Huku wengi wakiendelea kujivinjari kwenye siku kuu ya boxing kwa kutoa au kupokea zawadi, wenyeji wa mji wa Mombasa walipata kutumbuizwa na chipukizi kutoka kaunti hiyo kwenye mashindano ya ndondi.mashindano hayo yaliwaleta pamoja vijana kutoka kaunti hiyo kwa ajili ya kuonyesha talanta zao kwenye mchezo huo wa masumbwi. Waandalizi walinuia kutumia mashindano hayo kama njia mojawapo ya kuwasaidia vijana kwenye kaunti hiyo kuepuka utumizi wa madawa ya kulevya. Fainali za mashindano hayo zitaandaliwa siku ya jumatatu.
.
RELATED VIDEOS