x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kundi la vijana 11 katika kaunti ya Murang'a la badilika kutoka ulevi na kujitosa katika ukulima

26, Dec 2015

Ni siku kuu ya Krismasi na huenda kitoweo cha kuku unachokula ni kutokana na juhudi za kundi la vijana kumi na mmoja eneo la kabati kaunti ya muranga ambao wamebadilika kutoka walevi wa kupindukia na sasa wanaendeleza kilimo hasa ufugaji kuku na nguruwe. geff kirui na taarifa hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback