×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana Jackson Mandago awatembeleaa wafungwa huko Eldoret

24th December, 2015

Wafungwa katika gereza la Eldoret kaunti ya Uasin Gishu walipata fursa ya kipekee kujumuika na gavana wao Jackson Mandago. Gavana Mandago alilitembelea gereza hilo kutathmini hali yake na kupata fursa ya kusherehekea na wafungwa. Na mwanamke mwenye umri wa makamo amepoteza maisha baada ya kugongwa na basi la abiria katika eneo la kinungi kule Naivasha kaunti ya Nakuru. Taarifa hiyo na nyinginezo kwenye mkusanyiko wa habari za kaunti.
.
RELATED VIDEOS