×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Sherehe za waturkana yawaleta pamoja familia

24th December, 2015

Ilikua ni furaha na nderemo wakati maelfu ya watu kutoka jamii ya Ateker walipoungana kusheherekea na kumkumbuka mama yao Nayeche katika eneo la Moruanayeche sehemu ya letea kaunti ya Turkana. Jamii za wateso na wakaramojong kutoka Uganda, toposa kutoka Sudan kusini na nyang’atom kutoka Ethiopia waliungana na wenzao waturkana kumkumbuka mama huyo.
.
RELATED VIDEOS