Vijana wa Kuria washiriki katika mashindano ya Soka
23rd December, 2015
Vijana katika eneo bunge la kuria mashariki wameshiriki katika mashindano ya s0ka ili kuwahamasisha kutoshiriki katika visa vya uhalifu katika ene0 hil0. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na mbunge wa eneo hilo Mathias Robi yamefanyika huku visa vya uhalifu vikikithiri katika ene la Kuria ikiwemo wizi wa mabavu na wizi wa ngombe.