KTN Leo Full Bulletin 21st December 2015 Martha Karua adaiwa kula rushwa
21st December, 2015
Hatimae kiongozi wa chama cha nark kenya martha karua amejitokeza kujitetea na sakata ya kula hongo, na kutishia kulishtaki gazeti la uingereza la the independent kufuatia ufichuzi kwenye gazeti hilo kwamba karua alipokea rushwa ya shilingi milioni 7.5 kutoka kwa kampuni ya kutengeza sigara nchini bat. Sakata hio ilichipuka baada ya gazeti la uingereza kutoa madai hayo kwenye mojawapo ya nakala zake.