×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Watu wawili wafariki na wengine watatu kujeruhiwa katika shambulizi la Mandera

21st December, 2015

Watu wawili wameuwawa huku wengine zaidi wakiuguza majeraha baada ya kundi la watu kuwashambulia abiria katika basi moja kaunti ya mandera. Lakini katika taswira ya kuonyesha umoja wa jamii ya waislamu waliokuwa katika basi hilo lililokua likitokea mandera kuja hapa mjini nairobi, abiria wa kiislamu waliwazingira wenzao wa kikristo na kuwakinga dhidi ya kuuawa, baada ya kundi la wanamgambo wa al-shabaab kuwatenganisha tayari kuwaua. Mwanahabari mwenzangu hussein mohammed na taarifa hiyo.
.
RELATED VIDEOS