x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mlipuko katika gari la abiria la Forward Travellers wajeruhi wasafiri

20, Dec 2015

Ndege mmoja ya ufarnsa ilitua kwa ghafla katika uwanja wa kimataifa wa moi mjini mombasa ikitoka mauritius ikielekea ufaransa. Hii ni baada ya madai kuibuka kuwa kulikuwepo na kilipuzi ndani ya ndege hiyo. Baadhi ya abiria wanaendelea kuhojiwa kuhusu tukio hilo ambalo limeibua wasaiwasi mjini Mombasa.

RELATED VIDEOS


Feedback