Muungano wa wafanyikazi COTU yafichua sakata kubwa katika ujenzi wa nyumba za NSSF
20th December, 2015
Muungano wa wafanyikazi nchini cotu unataka mkurugenzi mkuu wa shirika la malipo uzeeni nssf ambaye alismamishwa kazi richard langat kushtakiwa kuhusiana na mradi tata wa nyumba za tasia wa kima chashilingi bilioni tano. Katibu mkuu wa cotu francis atwoli amesema muunganao huo umeiandikia tume ya maadili inayombana na ufisadi na afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ikitaka kesi hiyo ichunguzwe upya.