x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mkutano wa kimataifa WTO wakamilika Nairobi kwa kutoa maazimio yaliyoafikiwa

19, Dec 2015

Hatimae mkutano wa kimataifa wa kibiashara wa WTO,umekamilika kwa kutoa maazimio walioafikiana kuhusu sera za biashara. Mapema leo mashirika yasiyo ya serikali yalifanya maandamano nje ya ukumbi wa kicc wakilalamikia kutengwa kwa mataifa yanayokumbwa na umaskini na mataifa yanayozidi kunawiri katika kongamano la kibiashara la WTO. Mashirika hayo yamelaumu mataifa yaliyonawiri kwa ubinafsi yakitaka usawa kuzingatiwa.

Feedback