x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais mstaafu Daniel Moi aomba serikali kuhakikisha watoto wanapata elimu bora kwenye vyuo

18, Dec 2015

Rais mstaafu Daniel Arap Moi ametoa changamoto kwa serikali na wazazi kuhakikisha kwamba watoto wao na kizazi kijacho wanapata elimu bora kwenye vyuo vilivyoidhinishwa ili kuepuka vyuo bandia vinavyochipuka kote nchini. Mzee Moi aliwapa wasia wale waliofuzu wawe wa kurudisha mkono wa shukran katika jamii na kuwa watu wa manufaa kwa wazazi wao. Alizungumza mapema leo alipokuwa akiongoza hafla ya kufuzu ya chuo kikuu cha Kabarak kaunti ya Nakuru. Sherehe hiyo ya 11 tangu chuo hicho kianzishwe, ilifanyika kwenye bewa kuu la chuo hicho huko Nakuru

Feedback