×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mtangazaji wa KTN Marehemu Ahmed Darwesh azikwa katika makaburi ya Kikowani

16th December, 2015

Mtangazaji wa runinga ya KTN Marehemu Ahmed Darwesh alizikwa alasiri ya leo katika makaburi ya Kikowani . Jamaa na marafiki wakiwemo viongozi walifika kumpa buriani mwendazake aliyefahamika vyema vya utangazaji wa habari . Kulikuwa na huzuni mkubwa katika hafla hiyo
.
RELATED VIDEOS