Kifo chake 'Ahmed Darwesh' kimepokelewa kwa mshtuko na manjonzi ya hali ya juu
16th December, 2015
Ahmed Swaleh Darwesh aliyeaga dunia. Marehemu alikuwa mtangazaji na mhariri wa habari za KTN kwa lugha ya kiswahili kwa kipindi cha miaka 14. Kifo chake kimepokelewa kwa mshtuko na manjonzi ya hali ya juu miongoni mwa familia, jamaa na marafiki. Lofty Matambo anatarifa hiyo ya tanzia.