KTN Leo Full Bulletin 14th December 2015 - Kenya's rate of corruption is alarming
14th December, 2015
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC, imesema haitamkamata kiongozi wa upinzani raila odinga au hata kumtaka afike katika makao yake makuu ili kuhoojiwa. Tume hio ilidokeza kuwa raila ameweza kuwasilisha hoja zake kupitia mawakili wake. Haya yanajiri huku maandamano ya kumuunga mkono kiongozi wa upinzani yakifanyika kisumu.