ELIMU NA TAALUMA: 14th December 2015 Dhamira ya kubadilisha mfumo wa elimu ya 8-4-4
14th December, 2015
Mkutano unaendelea mjini Nairobi miongoni mwa washikadau wa elimu kwa dhamira ya kubadilisha mfumo wa elimu ya 8-4-4. Wataalamu wanasema kuwa mfumo huo haukidhi mahitaji ya kimsingi hata wanfunzi wanapofuzu. Mwanhabari paul nabiswa amefanya tathmini kuhusu hali ya elimu nchini kenya.