Seneta wa West Pokot John Lonyangapuo amelalamikia barabara duni
14, Dec 2015
Kwenye mseto wetu wa habari, Seneta wa West Pokot John Lonyangapuo amelalamikia hali duni ya barabara eneo hilo ambazo huchangia ukosefu wa usalama. Tukielekea kaunti ya nakuru mwili wa mwanamke mmoja aliyeuawa wasababisha hofu huko lanet na wauguzi katika kaunti za migori na taita taveta waamua kugoma na kutatiza huduma za afya.