Seneta wa Mandera Billow Kerow ahojiwa na polisi baada ya kukamtwa katika uwanja wa ndege wa Wilson
11th December, 2015
Alikamatwa na Wabunge wengine watano kutoka Kaskazini mwa Kenya katika Uwanja Wa Ndege wa Wilson na kupelekwa katika makao makuu ya idara ya upelelezi. Kerow anadaiwa kutaja kuwa kuna uthibitisho wa kupotea kwa watu kutoka eneo la Mandera katika muda wa miaka mitatu iliyopita huku akidai kuwa KDF ilihusika katika kutoweka kwao . Saida Swaleh anaarifu.