×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mkulima mmoja wa viazi tamu Nyeri avuna kiazi cha uzani wa kilo 10

9th December, 2015

Wakaazi wa eneo la Mathira kaunti ya Nyeri walistaajabishwa baada ya mkulima mmoja wa viazi tamu kuvuuna kiazi cha uzani wa kilo 10. Kulingana naye itambidi wakile kiazi hicho kwa siku tatu pamoja na kununua sufuria mpya itakayoweza kukipika kiazi hicho. Hii hapa taarifa hiyo iliyoandaliwa na Saida Swaleh.
.
RELATED VIDEOS