Jinsi Wafugaji hufanya mazoezi na kujifunza namna ya kukabiliana na adui zao kwa bunduki
9th December, 2015
Kumiliki bunduki miongoni mwa wafugaji ni jambo la kawaida. Wafugaji hao hufanya mazoezi na kujifunza namna ya kukabiliana na adui zao wasije wakawaibia mifugo. Hamza Yussuf alishuhudia matukio hayo kaskazini mwa Kenya.