Green Sports Africa wapanga kuandaa mashindanao yatakayojumuisha timu 120
8th December, 2015
Kundi moja la vijana nchini limeamua kuchukua hatua ya kukuza talanta ya kandanda nchini kwa kuandaa mashindano ambayo yanawahusisha vijana. Green Sports Africa kwa sasa wanaangazia kuandaa mashindnao yatakayojumuisha timu 120. Robinson Okenye alizungumza na chipukizi hao na kuandaa taarifa ifuatayo