Naibu wa Rais William Ruto ahidi wagonjwa matibabu mema
6th December, 2015
Rais Uhuru Kenyatta ametetea ziara anazofanya nje ya nchi mara kwa mara akisema ni kwa manufaa ya taifa... Kwenye taarifa rasmi msemaji wa ikulu manaoah esipisu amesema kuwa safari za rais zimeiwezesha serikali kupata ruzuku za kufanikisha utekelezaji wa miradi mbali mbali ya maendeleo ya taifa.