KTN Leo Wikendi Full Bulletin 6th December 2015 [Maana ya itikadi Nyeri]
6th December, 2015
Mtazamaji kutokana na kukithiri kwa ukataji miti hapa nchini, mashirika kadhaa yameanza miradi ya kuhamasisha na kuwahusisha wanafunzi wa shule kupanda miti ili angalau kupunguza athari za uharibifu wa mazingira.