x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

LIPENI KWANZA: Hospitali katika Kaunti ya Migori yakatalia mwili wa marehemu

06, Dec 2015

Familia moja katika kaunti ya migori ambayo huishi maisha ya uchochole inapitia hangaiko la aina yake kupata shilingi milioni moja kulipia ada ya hospitali ili ipewe maiti ya mpendwa wao. Marehemu alikuwa fundi wa nyaya za umeme na alifariki kutokana na majeraha aliyopata baada ya kuanguka kutoka kwenye mlingoti wa umeme akiwa kazini.

RELATED VIDEOS


Feedback