x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kizaaza chazuka baada ya mwanamke mmoja kujaribu kusimamisha harusi ya aliyekuwa mumewe

05, Dec 2015

Wakaazi wa mtaa wa Imara Daima walijionea sinema ya bure mchana pale mama mmoja alipojaribu kusimamisha harusi iliyohusisha anayedai kuwa mumewe na mwanamke mwengine. Anne Nyamweya amedai kuwa mumewe alipanga mipango ya harusi kwa misingi kwamba mkewe alikuwa tayari ameaga dunia na hata kubadilisha vyeti vya kuzaliwa vya wana wao wanne. Kinaya kikuu ni kuwa harusi hiyo iliendelea kama ilivyopangwa licha ya mvutano uliokuwepo. Nick Wambua na taarifa hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback