Tembea Kenya: Kikuu cha utalii cha 14 Waterfalls
4th December, 2015
Mji wa Thika unakivutio kikuu cha utalii – kinachofahamika kama 14 Waterfalls. Mwanahabari wetu Gladys Mungai alizuru eneo hilo lenye kuwavutia wengi na kutaandalia makala yafuatayo ya Tembea Kenya.