x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Maskwotaa 800 wanaomba kurejeshewa ardhi kilichonyakuliwa na mwabwenyenye Uasin Gishu

03, Dec 2015

Zaidi ya maskwotaa 800 wanaomba kurejeshewa kipande cha ardhi wanachodai kimenyakuliwa na mwabwenyenye katika kaunti ya Uasin Gishu. Maskwota hao sasa wanamtaka jaji mkuu Willy Mutunga kuharakisha kesi hiyo ili wapate haki mbali na kudai kuwa kesi hiyo imechukua muda mrefu kutatuliwa.

Feedback