x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia ya mfanyikazi wa Strathmore aliyefariki kwa kuruka toka ghorofani wataka haki kufanyika

02, Dec 2015

Familia ya mfanyikazi wa chuo kikuu cha Strathmore aliyefariki baada ya kuruka kutoka ghorofa ya chuo hicho imejitokeza na kutaka haki kufanyika. Naye msemaji wa polisi Charles Owino amesema kuwa taratibu zifaazo hazikufuatwa. huku katibu wa wizara ya elimu akikitaka chuo cha Strathmore kuielezea serikli jinsi shughuli hiyo ilivyopangwa. Geff Kirui na taarifa hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback