Baada ya kustaafu bingwa wa zamani, Omar Kasongo anawasaidia vijana kukuza talanta za ndondi
1st December, 2015
Omar Kasongo ni mojawapo ya mabondia ambao walibobea kwenye safu ya ndondi katika enzi zao. baada ya kustaafu bingwa huyo wa zamani katika uzani wa juu anawasaidia vijana chipukizi kukuza talanta zao kwenye mchezo wa ndondi. Robinson Okenye na taarifa zaidi