x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Makurutu wa polisi washikwa kwa kuhusika na uuzaji wa bangi huko Nyeri

30, Nov 2015

Kwa kawaida maafisa wa polisi wametwikwa jukumu la kuwalinda wananchi dhidi ya visa vya uhalifu lakini baadhi ya maafisa wa polisi wa kutoka eneo la Kiganjo katika kaunti ya Nyeri wameonekana kuenda kinyume na amri hiyo na badala yake kuhusika katika uuzaji wa bangi

RELATED VIDEOS


Feedback