x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Milipuko ya zoezi la polisi latia Chuo Kikuu cha Strathmore wasiwasi

30, Nov 2015

Hofu na taharuki ilitanda mapema hii leo katika chuo kikuu cha Strathmore hapa jijini Nairobi baada ya milio ya risasi na milipuko kusikika chuoni humo. Kama anavyoarifu Geoff Kirui wanafunzi kadhaa walijeruhiwa vibaya kwenye taharuki hiyo kutokana na kile kilichotajwa kama juhudi za kutaka kuyaokoa maisha yao huku shughuli nzima ikitajwa kama jaribio la kukabiliana na shambulizi la ugaidi

RELATED VIDEOS


Feedback