×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamaa mmoja amuua mkewe na kujiuwa, polisi amempiga mkewe risasai na pia kujiuwa

28th November, 2015

Jamaa mmoja huko Nakuru amemuua mkewe na kisha kujiuwa akihofu kwamba mkewe amemtoroka baada ya kufadhiliwa kwa mchango wa pesa na wasamaria wema. Fedha hizo zilikuwa za kulipia ada ya hospitali ya mtoto wao…. kwengineko kwenye tukio sawia afisa mmoja wa polisi eneo la Embu amempiga mkewe risasai na vile kujiuwa. Lofty Matambo anaarifu kwa kina
.
RELATED VIDEOS