×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Eneo moja Subukia linaaminika kuwa madhabahu makuu ya waumini wa kanisa Katoliki, Kenya

24th November, 2015

Eneo moja la Subukia linaaminika kuwa madhabahu makuu ya waumini wa kanisa katoliki nchini Kenya. Yaaminika miongoni mwa wakatoliki kwamba kufika kwenye madhabahu ya Subukia kunatoa nafasi ya muumini kutubu dhambi na kuondoka akiwa kiumbe kipya. Agnes Penda alifunga Safari kujionea moja kwa moja yanayoendelea kwenye madhabahu hayo.
.
RELATED VIDEOS