×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Papa Francis ataka utangamano wa kidini miongoni mwa watu wenye imani mbalimbali.

23rd November, 2015

Papa Francis ambaye anawasili nchini Kenya ameonekana kutaka utangamano wa kidini miongoni mwa watu wenye imani mbalimbali. Hata hivyo anazuru Kenya ambayo imekuwa ikikabiliwa na tatizo misimamo mikali ya kidini katika baadhi ya sehemu. Papa kadhalika atatembelea Jamhuri Ya Afrika ya Kati ambako kuna mgawanyiko mkubwa kati ya Waisalamu na Wakristu. Paul Nabiswa na taarifa hio.
.
RELATED VIDEOS